UHUSIANO ULIOKO KATI YA MDA NA KUSUDI LA MUNGU
samwel Muya
KIJANA NA KUSUDI LA
MUNGU
Kitabu cha mhubili
11:9-10
Wewekijana,
uufurahieujanawako, namoyowakoukuchangamshesikuzaujanawako,
ukaziendeenjiazamoyowako, nakatikamaonoya macho yako, lakiniujueweweyakwambakwaajiliyahayoyoteMunguatakuletahukumuni.
Kwahiyoondoamajonzimoyonimwako, naweuuondoeubayamwilinimwako; kwamaanaujananiubatili, na utu uzimapia.
Kwahiyoondoamajonzimoyonimwako, naweuuondoeubayamwilinimwako; kwamaanaujananiubatili, na utu uzimapia.
|
9.
|
Rejoice, young man, during
your childhood, and let your heart be pleasant during the days of young
manhood. And follow the impulses of your heart and the desires of your eyes.
Yet know that God will bring you to judgment for all these things.
|
|
10.
|
So, remove grief and anger
from your heart and put away pain from your body, because childhood and the
prime of life are fleeting
|
mhubirianaoneshajinsikijanaanavyotakiwaaishinakutimizafurahayake.
§
mhubilianaongeleakijanajinsiimpasavyokutimizamaonoyake,
§
kijanainampasaafanyejamboambololinamsukumondaniyamoyo
wake, lakininimuhimukijanaatambuekuwashetanianawezakuwekamsukumo wake
ndaniyamoyo wake ambaowawezakuhatarishamaishayake,
jambomuhimukijanaanatakiwaajitambuemanamsukumowa MUNGU hujakwa Yule
ambaeamejengamahusianomazuriNaye.
§
Furahayakijananikufanyakilekilichokondaniyamoyo
wake.
§
Ni muhimukujengamahusianomazurinaMungu KUPITIA ROHO
MTAKATIFU ilindaniyamoyowakoujazwenamsukumowa KIUNGU.
§
lolotekijanaanafanyalazimaakumbukekuwaataletwakwenyehukumukutoahesabuyamatendoyake.
mhubili 12:1-2
MkumbukeMuumbawakosikuzaujanawako,
Kablahazijajasikuzilizombaya, Walahaijakaribiamiakautakaposema, Mimi
sinafurahakatikahiyo.
12:2 Kablajua, nanuru, namwezi, Na nyota, havijatiwagiza; Kablayakurudimawingubaadayamvua;
12:2 Kablajua, nanuru, namwezi, Na nyota, havijatiwagiza; Kablayakurudimawingubaadayamvua;
Hakuna wakati
mzuri wa kutimiza kusudi la MUNGU kama wakati wa ujana , wengi wamekuwa wakiutumia huu wakati
kinyume na makusudi ya mungu na kujikuta katika maisha ya taabu uzeeni huku
wakiusikitikia ujana wao na muda wa kusudi umepita, vijana wengi wamekuwa wakifa vifo vya ajabu
katika umri mdogo kutokana na kuishi maisha yaliyo nje ya kusudi la mungu.
No comments:
Post a Comment