Sunday, February 2, 2014

UHUSIANO ULIOKO KATI YA MDA NA KUSUDI LA MUNGU 
samwel Muya

KIJANA NA KUSUDI  LA MUNGU

Kitabu cha mhubili 11:9-10
 Wewekijana, uufurahieujanawako, namoyowakoukuchangamshesikuzaujanawako, ukaziendeenjiazamoyowako, nakatikamaonoya macho yako, lakiniujueweweyakwambakwaajiliyahayoyoteMunguatakuletahukumuni. 

Kwahiyoondoamajonzimoyonimwako, naweuuondoeubayamwilinimwako; kwamaanaujananiubatili, na utu uzimapia. 
9. 
Rejoice, young man, during your childhood, and let your heart be pleasant during the days of young manhood. And follow the impulses of your heart and the desires of your eyes. Yet know that God will bring you to judgment for all these things.
10. 
So, remove grief and anger from your heart and put away pain from your body, because childhood and the prime of life are fleeting

mhubirianaoneshajinsikijanaanavyotakiwaaishinakutimizafurahayake.
§  mhubilianaongeleakijanajinsiimpasavyokutimizamaonoyake,
§  kijanainampasaafanyejamboambololinamsukumondaniyamoyo wake, lakininimuhimukijanaatambuekuwashetanianawezakuwekamsukumo wake ndaniyamoyo wake ambaowawezakuhatarishamaishayake, jambomuhimukijanaanatakiwaajitambuemanamsukumowa MUNGU hujakwa Yule ambaeamejengamahusianomazuriNaye.
§  Furahayakijananikufanyakilekilichokondaniyamoyo wake.
§  Ni muhimukujengamahusianomazurinaMungu KUPITIA ROHO MTAKATIFU ilindaniyamoyowakoujazwenamsukumowa KIUNGU.
§  lolotekijanaanafanyalazimaakumbukekuwaataletwakwenyehukumukutoahesabuyamatendoyake.
mhubili 12:1-2
MkumbukeMuumbawakosikuzaujanawako, Kablahazijajasikuzilizombaya, Walahaijakaribiamiakautakaposema, Mimi sinafurahakatikahiyo. 

12:2 Kablajua, nanuru, namwezi, Na nyota, havijatiwagiza; Kablayakurudimawingubaadayamvua; 
Hakuna wakati mzuri wa kutimiza kusudi la MUNGU kama wakati wa ujana  , wengi wamekuwa wakiutumia huu wakati kinyume na makusudi ya mungu na kujikuta katika maisha ya taabu uzeeni huku wakiusikitikia ujana wao na muda wa kusudi umepita,  vijana wengi wamekuwa wakifa vifo vya ajabu katika umri mdogo kutokana na kuishi maisha yaliyo nje ya kusudi la mungu.